Nawezaje kudownload faili la gemu?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Inategemea unataka kudownload game gani na kwa kutumia kifaa gani kudownload.
Kama unatumia simu sehemu yenye magemu kibao ni PlayStore ambayo inapatikana katika simu zote za android na AppStore kwa watumiaji wa simu zenye mfumo wa ios.
Kwa PC ama kompyuta hapa ndo kwenye kazi kidogo kwa sababu games nyingi hususa ni zile kubwa huwa zinauzwa katika tovuti za watengenezaji wa games hizo. Watu wengine huwa wanatumia torrents kudownload games zinazouzwa bure kabisa, japo umakini unahitajika sababu hakuna uhakika wa usalama ukitumia njia hizo.