Nawezaje kuchukua video Instagram na kuiweka kwenye simu?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Rickyllobbe
Fungua account ya Instagram katika google chrome,kisha copy link ya video uiloipenda na kisha open New Tab na uandike Download Gram.com,ikisha funguka paste ile link ulioikopy katika video ya insta katika kibox kilichowekwa