Nawezaje kucheza MojaSpesho?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Bet1
Jinsi ya kucheza ni rahisi, nenda kwenye menu yako ya Mpesa, TigoPesa, AirtelMoney au Halopesa;
1. Chagua lipia bili
2. Ingiza kampuni namba 123255
3. Ingiza kumbukumbu namba zako 3 za bahati
4. Weka kiasi kuanzia sh 1000 na utakua umecheza mojaspesho.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na huduma kwa wateja 0677255115 au 0677123255
Inaonyesha michezo yenu sio systematically, Bali mnacheza na akili za watu. Baada ya kuona mteja kacheza namba zipi ninyi mnakwepesha katika namba ambazo hazipo.
Nani anahakiki namba ya ushindi na kuitoa mtandaoni kisheria.hapa Kuna sintofahamu.