Nawezaje kucheza Biko na kushinda?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Bet1
Ukitaka kucheza biko na kushinda ni uhakikishe tu kuwa una bahati zaidi ya watu wengine wanaocheza ndo maana wanasema ni mchezo wa bahatinasibu.
Njia nyingine inayoweza kukusaidia kuongeza nafasi ya kushinda ni kucheza mara nyingi zaidi. Ukicheza mara nyingi zaidi unaongeza nafasi ya namba yako kuchaguliwa kama mshindi.
Bahati ndio kila kitu ili uweze kucheza biko na ushinde.
Ukitaka hatua za jinsi ya kucheza soma Jinsi ya kucheza biko