Nawezaje kubadilisha mtegemezi wa bima ya NHIF?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Salim Jumbe
Kupitia tovuti yao wanasema
Andika barua ya mambi yenye maelezo ya sababu ya kubalisha mtegemezi.
Jaza fomu pamoja na picha ambatanishwa uthibitisho wa kisheria wa uhusiano wake na mtegemezi unayemuweka.
Lipia 20,000 shilingi, Rudisha kitambulisho cha mtegemezi unayemtoa( isipokua mke lazima uweke uthibitisho wa talaka)