Nawezaje kuangalia livescore leo?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Musa Adam
Kuna sehemu nyingi za kupata livescore, ila napendekeza zaidi Livescore.com kutokana na kuwa na ligi zote ikiwemo ligi yetu kuu ya Tanzania na pia wana update muda sahihi ata wakati mechi ikiwa inaendelea unaweza kuona mabadiliko ya matokeo muda ule yanapotokea.
Kupata matokeo na ratiba za ligi kubwa kama EPL, LA LIGA, UEFA na nyingine tumia ⇒livescore.com. Kwa ligi za Africa kama Kombe la mabingwa Afrika na kombe la Shirikisho tumia link hii ⇒https://www.livescore.com/soccer/africa/. Na kwa ligi ya Tanzania ⇒https://www.livescore.com/soccer/tanzania/
Kwa watumiaji wa simujanja au smartphone kuna app yao inapatikana playstore inaitwa LiveScore: Live Sport Updates au unaweza tumia internet kawaida kwa link hii . Kwa ios pia unaweza kuipata hapa ⇒https://v42xp.app.goo.gl/vXqx
Watengenezaji wa tovuti hii hawakuwaacha nyuma wale watumiaji wa simu ndogo zenye internet (mfano wa hiyo hapo chini), wamewawekea chaguo la kuona livescore. Kama una simu ya aina hiyo unaweza tumia link hii ⇒wap.livescore.com
App au website kwa ajili hiyo sio hii tu. Kuna machaguo mengi sana mtandanoni na unaweza chagua na ukatumia ile ya chaguo lako. Baadhi ya sehemu nyingine ni kama
Kwa urefu zaidi kuna post inayoelezea yote hayo Livescore | Matokeo na ratiba za mechi kupitia websites na apps za simu