Nawezaje ku install application niliyoidownload kwenye kompyuta ya apple?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Ni rahisi kwa kufanya yafuatayo
>Ukimaliza kudownload application yako kwenye page yoyote labda ni App Store au Filehippo.
>Fungua laptop yako kwenye sehemu ya Download na utaikuta application yako uliyodownload.
>Usifungue,kwa kutumia mouse ya laptop yako shikilia(drag) iyo application ipeleke kwenye folder la APPLICATIONS.
>Hapo utakua tayari umefanya istallation ya application yako. Tazama mfano hapo chini jinsi ya kushikilia au ku-drag application uliyodownload kuipeleka kwenye folder la applications.