Nawezaje ku download nyimbo za kwaya RC?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Kwa wakati huu tulionao sasa nyimbo nyingi sana(karibu zote) zinapatikana katika mtandao wa YouTube. Hivyo unaweza ukatumia muda wako kuziangalia YouTube nyimbo hizo.
Kuhusu swali lako la namna ya ku download nyimbo za kwaya za RC ni kwamba unaweza kuzidownload huko huko YouTube.
Unachotakiwa kufanya hapa ni kujifunza namna ya kuchukua video hizo. Soma hii Njia gani naweza kutumia kudownload video za Youtube?
Unaweza pia kudownload video hizo zikiwa katika mfumo wa nyimbo(yani audio ama mp3) soma hii Jinsi ya ku download video za Youtube kwa kutumia Tubemate app ama unaweza tumia website HII