Nawezaje ku design blog inayolipa?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
ChuiTec
Ku design blog ni kitu kimoja na kupata pesa kupitia blog ni kitu kingine. Kuhusu namna ya kutengeneza blog soma hii Nawezaje kuunda blog?.
Tuje katika swala la kuifanya iwe inalipa.
Kwanza lazima ujue njia utakayotumia kupata pesa kupitia blog yako. Wengi wanaoanzisha blog huanzisha kwa kutegemea kuwa watatumia matangazo kutoka Google(Adsense). Njia hii ndio rahisi zaidi, ila ni lazima kuzingatia yafuatayo kabla ya kuanza
Ukiacha Adsense ambayo ndio njia bora ya kuingiza kipato kwa kutumia blog pia unaweza kutumia matangazo kutoka sehemu nyingine kama SeeBait, Proppeller na Adsterra
Kama ungependa kuuliza chochote bonyeza HAPA