Naweza kupanda Mlima Kilimanjaro bila kutumia kampuni ya tour ama tour guide?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Flora Jumanne
Hapana, unahitaji kampuni ya kuongoza watalii wakati wa kupanda Mlima Kilimanjaro kwa sababu utahitaji kutumia muda usiopungua siku tano kufika kileleni.
Kwa wakati wote huo utahitaji chakula, maji na mtu wa kukuongoza na kubeba mahitaji yako. Huduma zote hizo zinatolewa na kampuni ya kuongoza watalii.