Naweza ku Google kwa Kiswahili?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Ndio unaweza. Ni kitendo cha wewe kuandika chochote unachohitaji kwa Kiswahili na utapata matokeo kwa ajili yako.
Ukiandika google.co.tz inakuja google itakayozingatia majibu yanayohusiana na lugha ya kiswahili zaidi kuliko yale ya kiingereza. Lakini hata hivyo google imetengenezwa vema kwa hiyo ukiingia google tu kwa browser yako ya kawaida ita detect nchi na itakupeleka moja kwa moja katika lugha ya kiswahili.