Facebook ndio mtandao wa kijamii unaaongoza kwa idadi ya watumiaji. Unaweza ku-share picha video au chochote katika maneno. Leo ningependa kuongelea swala la video. Kwa sasa kuna idadi kubwa ya video zinazovutia, nyingi zikieleimisha au kuburudisha. Lakini kwa bahati mbaya mtandao huu  haujatoa chaguo linalokuwezesha kudownload ama kuhifadhi video hizo ili uweze kuziangalia baadae hata bila kuwa na data.
Unaweza kudownload video za facebook kwa kutumia Video Downloader for Facebook.

Kwa mfano unataka kudownload video hiyo hapo juu katika page ya facebook ya mojasky. Kwanza itabidi uangalie iyo video inapatikana katika page/profile gani mfano hapo ni katika page ya Mojasky.
Kisha ingia Google playstore kwa ajili ya kudownload application ya Video Downloader for Facebook

 

Search Video Downloader for Facebook kisha Install alafu subiri ili uingie kwa kubonyeza ‘OPEN’

 

 

Baada ya kuingia katika application yako log in katika account yako ya facebook. Maelezo yatatokea kama inavyoonekana hapo chini bonyeza ‘GOT IT’ kisha ‘BROWSE FACEBOOK’ kwa ajili ya kuanza kuitafuta video yako

 

 

 

Baada ya hapo andika jina la page au profile ya mtu ambaye amepost video hiyo. Mimi nimeandika mojasky ili nidownload video ya mojasky iliyoonekana pale juu.

 


 

 

Sasa unaitafuta video yako kisha unabonyeza alama ya kucheza video na kisha ‘DOWNLOAD’

 

Baada ya kudownload video zako zitapatikana katika faili la “fb.video.downloader” kama inavyoonekana katika picha hapo chini

 

 

sasa unaweza ku-enjoy video za faebook katika simu yako.