Namba za bahati za tatu mzuka ni zipi?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Bet1
Namba za bahati za tatu mzuka ni namba zozote tatu unazoona kuwa zinaweza kuwa na bahati kwako.
Maanaake ni kwamba unaweza kuchagua tu namba zozote kama 257 au 888 kama namba zako za bahati.
Watu wengine wanapataga namba hizi kwa kuangalia tarehe zao za kuzaliwa ama namba zilizowahi kuwapa bahati katika vitu vingine na matukio mengine yoyote yanayohusisha namba.
Hakuna namba maalumu za kushinda na atakayekupa namba hizo lazima ujiulize kwa nini asizitumie yeye ashinde.