Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In

Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa

Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Maswali»Q 359
In Process
Adv
Anonymous
Asked: February 1, 20192019-02-01T11:32:25+03:00 2019-02-01T11:32:25+03:00Mapishi/Vyakula

Nahitaji kujua jinsi ya kupika pilau, nifanyeje?

Nahitaji kujua jinsi ya kupika pilau, nifanyeje?
  • 1
  • 1,573
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report
Adv

Jibu 1

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. Flora Jumanne

    Flora Jumanne

    • Arusha, Tanzania
    • 0 Questions
    • 20 Answers
    • 0 Best Answers
    • 99 Points
    View Profile
    Flora Jumanne Intermediate
    2019-02-26T04:43:36+03:00Jibu - February 26, 2019 saa 4:43 am
    Jibu hili limerekebishwa.

    Pilau Ya Nyama Ya Ng’ombe Na Nyanya

    kupika pilau

    Vipimo

    Mchele (Basmati) – 3 vikombe
    Nyama ya ngo’mbe – 1 kg
    Pilipili boga – 1 kubwa
    Nyanya – 2 kubwa
    Vitunguu maji – 2 vikubwa
    Kitunguu saumu(thomu/galic) iliyosagwa – 1 kijiko cha supu
    Tangawizi – 1 kijiko cha chai
    Ndimu – 1
    Mafuta ya kupikia – ½ kikombe
    Mdalasini – ½  kijiko cha chai
    Binzari nyembamba – 1 kijiko cha chai
    Pilipili manga – ½ Kijiko cha chai
    Hiliki – ½ Kijiko cha chai

    Namna ya kutayarisha na Kupika

    Roweka mchele wako katika chombo
    Chukuwa nyama na ioshe vizuri na itie thomu, tangawizi, ndimu, pilipili manga na chumvi kiasi
    Iweke jikoni hadi ikauke maji na kuwa imewiva huku ukiikaanga kaanga kwa hayo hayo mafuta yake hadi kuwa rangi ya hudhurungi
    Katakata Vitunguu na nyanya weka pembeni
    Chukua pilipili boga, thomu, tangawizi na visage katika mashine ya kusagia
    Weka sufuria pembeni na utie mafuta, subiri yapate moto
    Kisha tia vitunguu na vikaange hadi kuwa hudhurungi na tia nyanya
    Kisha mimina mchanganyiko wako ulio usaga wa pilipili boga, thomu na tangawizi
    Koroga kwa dakika kadhaa Kisha mininia nyama uliyokuwa tayari, maji kiasi na chumvi wastani na subiri maji hayo yachemke
    Weka mchele humo na koroga kiasi na onja chumvi kama ipo sawa au kama ndogo unaweza kuongeza
    Funika na punguza moto na uache uive taratibu
    Baada ya kukauka maji kabisa basi ugeuze na subiri tena kwa dakika kama mbili na tayari kuliwa.

    alhidaaya

    • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua
Captcha Click on image to update the captcha.

Adv

Sidebar

Uliza Swali

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Maswali yanayoendana

    • Ni vyakula gani vinavyopikwa kwa kutumia matunda?

    • Nawezaje ya kupika keki?

    • Mafuta ya kupikia ya wanyama ni mazuri?

    • Nitajuaje jinsi ya kupika pilau ya nazi?

    • Nawezaje kupikia mafuta ya nazi?

    • Mafuta gani ni mazuri zaidi kupikia?

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.