Mtandao wa 4G maana yake nini?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
4G au LTE (Long Term Evolution) ni intaneti mpya yenye kasi na ubora wa kiwango cha juu. Ukiwa na intaneti ya 4G utakuwa na uhakika zaidi wa kuwasiliana na kujiepusha na usumbufu wa kukata kwa intaneti.
Kipi cha ziada kwenye 4G LTE