MP Kwenye kamera huwa inamaanishaga nini?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Najua neno hili tunaliskia sana na kuliona kwenye camera zetu, lakini je tunajua lina maanisha nini
Kabla ya megapixel (MP) inabidi kujua pixel ni nini
Pixel ni viboksi vidogo vidogo ambavyo vinatumika katka kujenga picha
Meg pixel (MP) ni mkusanyiko wa pixel milioni moja.
Hapa vle vle uzuri wa picha utaweza kuonekana kwa kuangalia ni pixel ngapi zmejikusanya katka kujenga picha hyo.
Kwa mfano camera yenye (MP) 8 kwa haraka haraka itakua na viboksi vidogo vidogo milioni 8 kwa kla inch ambavyo vinatengeneza picha itakayo pigwa na camera hiyo
La kumalizia ni kwamba tukiwa na viboksi vingi ina maanisha kua picha zetu zitakua nzuri
source