MojaSky ni nini na inafanya kazi gani?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
1sky
MojaSky ni tovuti ya maswali na majibu yenye malengo ya kuhakikisha taarifa na maarifa sahihi yanasambaa kiurahisi kutoka kwa watu wenye nayo kwenda kwa wale wenye uhitaji. Lengo ni kuhakikisha maarifa yanakuwa wazi kwa ajili ya kila mmoja.
MojaSky inapatikana kupitia anuani hii mojasky.com
Utumiaji wa MojaSky unaweza kuwekwa katika makundi matatu muhimu. Makundi hayo ni
1. Kuuliza Maswali
Hapa mtumiaji yoyote(hata kama hajajiunga) anaweza kuuliza swali lolote. Kuuliza swali unapaswa kubonyeza kitufe kilichoandikwa Uliza swali katika menyu ya kushoto kwa watumiaji wa simu na upande wa kulia kwa watumiaji wa kompyuta. Ukurasa kwa ajili ya kuuliza swali unapatikana hapa Uliza Swali
2. Kujibu Maswali
Mtu yoyote pia anaweza kujibu swali lolote bila hata kujiunga. Kupata maswali kwa ajili ya kujibu unaweza ku sachi katika sehemu ya kutafuta inayoonekana katika menyu au unaweza kutembelea ukurasa wa maswali HAPA. Tunashauri watu kujibu maswali yaliyo katika mada walizo na utaalamu nazo mfano fundi ujenzi ajibu maswali kuhusu ujenzi(Inaweza kumsaidia pia kukutana na wateja ambao wanatafuta taarifa kuhusu maswala ya kiufundi).
3. Kuandika makala(post). Unaweza pia kuandika makala kupitia tovuti ya MojaSky. Hii inakurahisishia wewe kama ni mpenzi wa kuandika na unakosa sehemu kwa ajili ya kutimiza hilo. Kuchapisha makala yako tumia link HII
Zaidi pia kuna mfumo wa zawadi za pointi kila utakapofanya moja ya vitu vilivyoorodheshwa hapo juu na vingine kama ku-vote up au down majibu ya watu wengine, kuweka link zako za mitandao ya kijamii na ku-follow watumiaji wengine.
Link nyingine muhimu ni kama zifuatazo
Nyumbani(MojaSky)
Kujiunga
Ku-Login
Kuuliza Swali
Ukurasa wa Maswali
Mchanganuo wa pointi
Kuandika Post
Watumiaji wengine
Kuwasiliana nasi
Posts
Ukurasa wa Majibu
Maswali ya kura(polls)
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Mwisho kabisa ni vyema ukapitia Sera na Sheria zetu kabla ya kutumia MojaSky. Ungana nasi katika misheni yetu ya kuweka wazi taarifa. Karibu sana.