Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In

Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa

Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Maswali»Q 32340
In Process
Adv
Anonymous
Asked: June 14, 20192019-06-14T11:35:22+03:00 2019-06-14T11:35:22+03:00Mafumbo

Unaweza kushea message za mafumbo?

Unaweza kushea message za mafumbo?
  • 1
  • 7,644
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report
Adv

Jibu 1

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. Anonymous
    2020-01-10T09:19:15+03:00Jibu - January 10, 2020 saa 9:19 am

    Ukiipata hii SMS,
    Mtumie
    Mtu 1 unayempenda,
    Mtu 1 unayemchukia,
    Mtu 1 unayemuwaza muda wote na
    Mtu 1 unayetamani kumuua.
    sasa endelea kuwaza kwa nini mimi nimekutumia wewe!!
    ________________________________________

    Swali: Ni wakati gani ambao mtu anapewa PONGEZI
    kwa MAKOSA yake?

    Jibu: katika HARUSI yake.
    ______________________________________

    Sehemu gani ya mwili wa binadamu ambayo haiongezeki ukubwa?
    (tangu mtu amezaliwa)

    Unahisi unajua jibu….

    Jibu=Jicho
    ________________________________________________

    Kitu kifupi
    kinakuwa kirefu ukikishika
    kinapita katikati ya maziwa ya mwanamke
    kinaingia kwenye shimo dogo
    Ni nini hicho?

    Jibu. mkanda wa siti ya gari….. acha akili chafu wewe

    ————–
    Sms ipi ya mafumbo imekupiga chenga?

    • -16
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua
Captcha Click on image to update the captcha.

Adv

Sidebar

Uliza Swali

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Maswali yanayoendana

    • Unazo message za mafumbo za kingereza?

    • Ivi kati ya kuku na yai ni kitu gani kilichotangulia?

    • Una SMS za mafumbo kuhusu maisha?

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.