Maxence Melo ndo nani?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Rickyllobbe
Nifounder wa jamiiforoum aliyeigundua akiwa na mwenzake bwana Mike mushi mnamo mwaka 2006 ikipewa jina la jamboforums jina hili ilitumika hivo ndani ya muda wa miaka miwili yaani hadi mwaka 2008 hatimaye kubadilishwa jina nakuitwa jamiiforum wakiwa jijini nDar es salaam,na mpaka sasa watu hawa wamekuwa maarufu sana nchini mwetu kwasababu wamechangia katika kulete maendeleo nchini mwetu na pai watu hawa ni mfano mzuri wa kuingwa na sisi wananchi wa Tanzania ilikuendelea kupata maendeleo nchini mwetu tukiwa kama watanzania.