Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In

Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa

Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Maswali»Q 34723
In Process
Adv
Anonymous
Asked: January 18, 20202020-01-18T06:14:38+03:00 2020-01-18T06:14:38+03:00HESLB

Masharti na taratibu za kuomba mkopo Bodi ya Mikopo HESLB zikoje?

Masharti na taratibu za kuomba mkopo Bodi ya Mikopo HESLB zikoje?
  • 1
  • 468
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report
Adv

Jibu 1

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. Calvin Mlay

    Calvin Mlay

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 82 Answers
    • 0 Best Answers
    • 366 Points
    View Profile
    Calvin Mlay Proffesional
    2020-01-18T06:16:54+03:00Jibu - January 18, 2020 saa 6:16 am
    Jibu hili limerekebishwa.

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imejumuisha utaratibu wa maombi ya mkopo kwa kutumia mfumo  wa maombi ya mkopo kwa mtandao (OLAS). Mfumo wa kutumia tovuti ni kwa waombaji wa mara ya kwanza na kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo.

     

    Masharti:

    • Namba ya shule/mtihani ya kidato cha nne ikiwemo mwaka aliofanya mtihani kama inavyoonekana kwenye cheti.
    • Maelezo ya udhamini kama vile jina kamili, kitambulisho, anuani ya posta, namba ya simu ya mkononi na barua pepe.
    • Namba ya utambulisho wa malipo inatakiwa

     

    Taratibu:

    • Tembelea Mfumo wa Maombi ya Mkopo  kwa Mtandao
    • Soma maelekezo ya utoaji mkopo
    • Lipa ada ya maombi ya mkopo kwa njia ya mifumo ya malipo kwa simu ya mkononi
    • Jisajili katika OLAS
    • Jaza fomu ya maombi kwa mtandao
    • Chapa fomu zote za maombi
    • Ambatisha nyaraka zinazotakiwa kwenye maombi yako
    • Peleka fomu zote za maombi kwa uthibitisho wa hakimu au mthibitishaji rasmi/wakili wa mamlaka ya serikali za mitaa
    • Peleka fomu zote za maombi zilizokamilika kwa njia ya EMS kwa HESLB.

     

    Zingatia:

    • Mtu yeyote ambaye wakati wa kujaza fomu ya maombi ya mkopo anajua kwamba anatoa taarifa  ya uongo, iwe kwa mdomo, kwa maandishi au kwa mtandao, kuhusu jambo lolote litakaloathiri maombi ya mkopo husika atakuwa na hatia yakutenda kosa na atastahili kutozwa faini isiyopungua Tshs. 1,500,000/= au kifungo

      kisichozidi miezi sita au vyote kwa pamoja.  (kifungu 23(1) ya Sheria ya HESLB Na.

      9 ya Mwaka 2004 kama ilivyorekebishwa).

    • Iwapo itabainika kuwa mkopo ulitolewa kutokana na taarifa za uongo zilizotolewa namkopaji, bodi itabatilisha mkopo huo na mkopaji atashtakiwa.
    • Waombaji wanashauriwa kutunza stakabadhi ya EMS na nakala ya fomu zote za maombiya mkopo kwa ajili ya marejeo ya baadae na ufuatiliaji.

    Chanzo : Tovuti ya Serikali

    • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua
Captcha Click on image to update the captcha.

Adv

Sidebar

Uliza Swali

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.