Masharti na taratibu za kuomba mkopo Bodi ya Mikopo HESLB zikoje?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imejumuisha utaratibu wa maombi ya mkopo kwa kutumia mfumo wa maombi ya mkopo kwa mtandao (OLAS). Mfumo wa kutumia tovuti ni kwa waombaji wa mara ya kwanza na kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo.
Masharti:
Taratibu:
Zingatia:
kisichozidi miezi sita au vyote kwa pamoja. (kifungu 23(1) ya Sheria ya HESLB Na.
9 ya Mwaka 2004 kama ilivyorekebishwa).
Chanzo : Tovuti ya Serikali