Mambo gani ya kufanya ili kuwa wakala wa ving’amuzi vya Azam?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Salim Jumbe
Kupitia document inayopatikana katika tovuti ya AzamTv wanasema unahitajika kuwa na vitu hivi
Ombi lako litapitiwa kwanza alafu utapewa taarifa kam aumefanikiwa
Document zitatumwa kwenda
Sales & Marketing
Azam Media Ltd
P.O.Box 2517, Nyerere road
Dar es Salaam, Tanzania
Origina l document inapatikana hapa