Makato ya NMB Chap Chap account ni kiasi gani?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Salim Jumbe
Chap Chap akaunti haina makato ya mwezi ila kuna makato ya kutoa pesa.
Makato pekee ambayo hayapo ni kuhamisha fedha kutoka akaunti moja ya NMB kwenda akaunti nyingine ya NMB kwa kutumia NMB mobile, NMB ATM na NMB KliK.
Kuangalia salio, kuhamisha kwenda kwenye mitandao ya simu na kwenda benki nyingine kuna makato.