Makambo ameuzwa sh ngapi?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Musa Adam
Inasemekana kuwa ni Sh Milioni 228 kutokana na taarifa iliyowahi kuandikwa na Mwananchi ikisema “Makambo atengewa Sh 228 ” japo haikusema na klabu gani.
Hata hivyo Horoya FC imethibitisa kumsajili Heritier Makambo bila kutaja dau walilitoa kwa yanga. Kutokana na taarifa hizo mbili kuna dalili kuwa dau ndio lile lililotajwa mwanzo.