Magufuli ni kabila gani?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Faustine John
Kumekuwa na mawazo tofauti pale linapokuja swala hili kuhusu kabila la Raisi John Pombe magufuli. Kila mtu akisema lake na wengine wakivutia upande wa makabila yao kwa sababu wanaozijua wao. Ila kiurahisi tu unaweza kusema kabila la Magufuli ni msukuma.
Katika majadiliano hayo kuna mtu ametoa mawazo yake kama ifuatavyo kupitia jamiiforums
Anasema, Bila kwenda ndani sana ambako mengine si muhimu. Magufuli ni MCHANGANYIKO wa damu kadhaa MIXED BLOOD.
Ana damu ya KISUKUMA na ana damu ya makabila mengine baadhi.
Wasukuma huwa HAWANA HASIRA kali Magufuli ni MKALI SANA na mwepesi wa KUKASIRIKA!
Hiyo SI hulka ya WASUKUMA! Wasukuma ni WAPOLE!
ACCENT/ LAFUDHI ya Magufuli si PURE KISUKUMA ukimsikiliza kwa makini ana Lafudhi tofauti. kwa sababu ya DAMU mchanganyiko!
Japokuwa Magufuli anakizungumuza Kisukuma vizuri sana lakini si Msukuma kamili.
Japokuwa familia yake the MAGUFULI huongea KISUKUMA wakiwa nyumbani bado yeye si PURE Msukuma.
Kama ILIVYO KAWAIDA ya Watanzania wengi, Tuko MIXED blood hakuna aliye PURE kabisa labda wa kule ndani sana.
Hata hivyo ukifuatilia BLOODLINE/UKOO utakuta watu wengi si PURE/ KAMILI katika kabila lake
Hata Magufuli ni kama WEWE na MIMI. HUO ndo UZURI wa nchi ya Tanzania INTERMARRIAGE /KUOANA makabila tofauti zimevunja UKABILA.
Labda tu umebaki kwa makabila wachache sana WANAOJIBAGUA na KUOANA wao kwa wao!
INTERMARRIAGE kuona nje ya kabila lako kumeisadia Tanzania. Kwa hilo NAJIVUNIA nchi yangu Tanzania!.