Magemu gani unayapenda zaidi? kwa nini?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Rickyllobbe
Magemu ninayoyapenda zadi ni magemu ya mpira sababu huwa yana challenge kwa upande wangu na mengi yao huwa na ukweli ndani yao.Mfano game la Dream league Soccer huwa ni zuri kwa upande wangu.