Maana ya shina ni nini?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Emmanuel Magessa
Shina ni sehemu ya neno ambayo inakuwepo kabla ya kupachika viambishi vya kisarufi. Mfano katika Kiiengereza; shina chair > chair(s); teacher > teacher(s). Tunaona kuwa chairs imetokana na mzizi chair-. Na teachers imetokana na uambatano wa teach- na –er. Hapa teach ni mzizi lakini teacher ni shina ambalo linapachikwa kiambishi tamati –s. Mwishoni tunayo dhana ya umbo la msingi (base) ambalo laweza kuambishwa vipashio vyovyote vile viwe vya kisarufi au vya kinyambulishi. Tuangalie mfano wa chair ambapo tunaweza kupata chairs au chaired yaani kwa umbo la msingi la chair tunapata tunajenga nomino yenye uwingi (chairs) na vilevile kitenzi chaired. Kwa maneno mengine kila mzizi ni kipashio cha msingi (base). Vipashio hivi vya msingi vyawa mashina pale tu vinapotumika katika muktadha wa uambishaji wa kisarufi…. endelea kusoma
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaSHINA.
Shina Ni neno lenye maana zaidi ya moja kiutafsiri..
Aina ya kwanza Ya shina:
Ni Ile sehemu inayo shika mizizi ya mti na sehemu Ya kuja juu kabla kuyafikia matawi..
“‘Hio sehemu ilio baina ya kiwiliwili cha Mti na miziz ndio Yaitwa shina””
TAFSIRI NYENGINE YA SHINA NI:
Shina Mufumo: Au ni mfumo ulio ktk jamii wenye kuungana na ukazalisha familia…
(Yaani baba hua ndo shina kuu ktk hio familia. Na Mama hua mfano wa mizizi na Watoto hua matawi)
Promo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaFlora Jumanne
Shina la neno ni sehemu ya neno inayotumika kuundia neno jipya.
Kuna aina kuu tatu za mashina neno, nazo ni:
1. Shina sahili ni aina ya shina lililoundwa kwa mofimu moja tu. Mfano: Baba, Mama n.k.
2. Shina ambatano ni aina ya shina lililoundwa kwa mzizi na kiambishi awali cha mtenda. Mfano: pig+a, piga n.k.
3. Shina changamano ni aina ya shina lililoundwa kwa mofimu mbili ambazo ni mzizi wa neno. Mfano Mwana+nchi, Mwana+jeshi, Bata+mzinga n.k.
nimeitoa wikipedia