Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In

Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa

Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Maswali»Q 32023
In Process
Adv
Anonymous
Asked: June 5, 20192019-06-05T12:52:38+03:00 2019-06-05T12:52:38+03:00Maana za Maneno

Maana ya shina ni nini?

Maana ya shina ni nini?
  • 3
  • 3,269
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report
Adv

Majibu 3

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. Chollo Riyamiy
    2019-09-04T19:33:36+03:00Jibu - September 4, 2019 saa 7:33 pm

    SHINA.

    Shina Ni neno lenye maana zaidi ya moja kiutafsiri..

    Aina ya kwanza Ya shina:

    Ni Ile sehemu inayo shika mizizi ya mti na sehemu  Ya kuja juu kabla kuyafikia matawi..

    “‘Hio sehemu ilio baina ya kiwiliwili cha Mti na miziz ndio Yaitwa shina””

    TAFSIRI NYENGINE YA SHINA NI:

    Shina Mufumo: Au ni mfumo ulio ktk jamii wenye kuungana na ukazalisha familia…
    (Yaani baba hua ndo shina kuu ktk hio familia. Na Mama hua mfano wa mizizi na Watoto hua matawi)

    • 1
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  2. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  3. Emmanuel Magessa

    Emmanuel Magessa

    • Mbeya, Tanzania
    • 1 Question
    • 30 Answers
    • 0 Best Answers
    • 58 Points
    View Profile
    Emmanuel Magessa Intermediate
    2021-04-09T08:25:50+03:00Jibu - April 9, 2021 saa 8:25 am

    Shina ni sehemu ya neno ambayo inakuwepo kabla ya kupachika viambishi vya kisarufi. Mfano katika Kiiengereza; shina chair > chair(s); teacher > teacher(s). Tunaona kuwa chairs imetokana na mzizi chair-. Na teachers imetokana na uambatano wa teach- na –er. Hapa teach ni mzizi lakini teacher ni shina ambalo linapachikwa kiambishi tamati –s. Mwishoni tunayo dhana ya umbo la msingi (base) ambalo laweza kuambishwa vipashio vyovyote vile viwe vya kisarufi au vya kinyambulishi. Tuangalie mfano wa chair ambapo tunaweza kupata chairs au chaired yaani kwa umbo la msingi la chair tunapata tunajenga nomino yenye uwingi (chairs) na vilevile kitenzi chaired. Kwa maneno mengine kila mzizi ni kipashio cha msingi (base). Vipashio hivi vya msingi vyawa mashina pale tu vinapotumika katika muktadha wa uambishaji wa kisarufi…. endelea kusoma

    • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  4. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  5. Flora Jumanne

    Flora Jumanne

    • Arusha, Tanzania
    • 0 Questions
    • 20 Answers
    • 0 Best Answers
    • 99 Points
    View Profile
    Flora Jumanne Intermediate
    2019-06-20T07:27:55+03:00Jibu - June 20, 2019 saa 7:27 am

    Shina la neno ni sehemu ya neno inayotumika kuundia neno jipya.

    Kuna aina kuu tatu za mashina neno, nazo ni:

    • 1. Shina sahili
    • 2. Shina ambatano
    • 3. Shina changamano

    1. Shina sahili ni aina ya shina lililoundwa kwa mofimu moja tu. Mfano: Baba, Mama n.k.

    2. Shina ambatano ni aina ya shina lililoundwa kwa mzizi na kiambishi awali cha mtenda. Mfano: pig+a, piga n.k.

    3. Shina changamano ni aina ya shina lililoundwa kwa mofimu mbili ambazo ni mzizi wa neno. Mfano Mwana+nchi, Mwana+jeshi, Bata+mzinga n.k.

    nimeitoa wikipedia

    • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua
Captcha Click on image to update the captcha.

Adv

Sidebar

Uliza Swali

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Maswali yanayoendana

    • Mwanaspoti ni nini?

    • Nini maana ya mwananchi?

    • Saikolojia ni nini?

    • Urithi ni nini?

    • TIN namba ni nini?

    • Nini maana ya hisa?

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.