Maana ya mangi ni nini?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Rickyllobbe
Kama inavyo faamika kuwa MANGI ni mchaga anayeuza duka na jamii nyngi ndo huamini hivyo lakini ukweli ni kwamba MANGI ni Viongozi au Chief wa kabila la WACHAGA wa enzi hizo kabla ya ukoloni