M Pesa Master card inafanyaje kazi?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Ukishachagua bidhaa unazotaka kuweka oda yako kwenye mtandao husika,nenda chini hadi kwenye nembo ya malipo ya Mastercard na chagua hapo, Kisha chukua simu ya Vodacom M-Pesa na fuata hatua zifuatazo
Hizi tu ndizo taarifa unazohitaji kukamilisha malipo yako mtandaoni. Jaza kwa uangalifu kwenye mtandao husika na utapata ujumbe wa uthibitisho wa malipo yako.