Kwani ni lazima niweke app yangu play store?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Salim Jumbe
Sio lazima ila ni muhimu.
Ni muhimu kwa sababu PlayStore ndio sehemu kuu ambayo watumiaji wa simu za android hutumia kupakua apps na wengine hata hawajui kama kuna sehemu nyingine wanaweza kuzipata apps hizo. Wengine pia wanaweza kuiona app yako hata kama hawajaitafuta.
Ku install app kupitia PlayStore ni rahisi. Unabonyeza tu install app inaingia. Lakini kwa njia nyingine lazima upakue kwanza uje utafute file la apk uli install na inabidi uruhusu ‘apps from unknown sources’.
Uamuzi ni wako.