Kwako Diamond Platnumz ni nani?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Faustine John
Kwangu Diamond Platnumz ni msanii wa muziki alieiona fursa ya biashara katika muziki wake.
Ni kijana aliyesogeza muziki wa Tanzania katika mataifa mengine na kufungua njia kwa vijana wengine wa Afrika Mashariki hususani kwa Tanzania.
Ni mtanzania.
Ni baba.