Kwa nini simu yangu haichezi Dream League Soccer 2019?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Musa Adam
Ili uweze kucheza Dream League Soccer inabidi simu yako iwe na vitu vifuatavyo.
CPU: Quad Core 1.8 GHz or equivalent. (unaweza kuiona kwenye setting-about phone)
RAM: 2GB.
Storage: 150MB.(space kwenye memory)
OS: iOS 9/Android 5.0.
Sio lazima ivyo vyote lakini ili game lichezeke vizuri inabidi uwezo wa simu yako usiwe mbali na hapo