Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In


Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa


Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.


Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Maswali»Q 31842
In Process
Anonymous
Asked: June 1, 20192019-06-01T06:16:55+03:00 2019-06-01T06:16:55+03:00Michezo

Kwa nini Ajibu amekataa kwenda Tp Mazembe?

Kwa nini Ajibu amekataa kwenda Tp Mazembe?
  • 1
  • 627
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report

Jibu 1

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. Musa Adam

    Musa Adam

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 13 Questions
    • 88 Answers
    • 0 Best Answers
    • 333 Points
    View Profile
    Musa Adam Expert
    2019-06-13T09:42:15+03:00Jibu - June 13, 2019 saa 9:42 am

    Tetesi zinasema hivi kama zilivyoandikwa katika mtandao wa bongo5

    Tetesi hizo za kutakiwa kusajiliwa kwa Ibrahim Ajibu zimeshindikana kutokana na klabu ya Simba kutaka kukaa meza moja na TP Mazembe kwaajili ya dili hilo kwakuwa miamba hiyo ya soka ya Msimbazi ilishafanya naye mkataba wa awali na mchezaji huyo.

    Inadaiwa kabla ya Mei 23 Meneja wa Ajibu aliwasiliana na klabu ya Simba kuwaaomba wamuruhusu Ajibu ajiunge na TP Mazembe kwa sababu alikuwa amesaini mkataba wa awali na klabu hiyo ndipo klabu ya Simba ikawaambia TP Mazembe waje kwenye meza ya mazungumzo kwa sababu wao wana mkataba wa awali na Ajibu na alishachukua baadhi ya fedha za usajili.

    Simba wakawaambia TP Mazembe kuwa Ajibu anauzwa dola 100,000 ambazo ni zaidi ya milioni 220 za Kitanzania na kuwapa sharti la kuweka kwenye mkataba wake iwapo atauzwa klabu nyingine asilimia 20 ya mauzo yake wapate Simba. Ndipo TP Mazembe ikasitisha mpango wa kumsajili kwa sababu wenyewe walikuwa wanajua Ajibu ni mchezaji huru.

    Na kocha wa Yanga Mwinyi Zahera nae alisikika akisema haya

    “Kwangu nadhani kakataa kwa sababu moja, labda anaona hapa kila siku anaandikwa kwenye magazeti yote, akipita mitaani watu wanamwita na kumsifia lakini kule mambo hayo hayatakuwepo kunama-star wengi.”

    “Au anaogopa akienda kule hatocheza, kama amekataa kwenda ili abaki hapa sawa lakini mimi hawezi kunidanganya, Mazembe wataniambia kilakitu.”

    • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua

Sidebar

Promo

  • Gugo kwa Kiswahili, Jaribu Sasa

  • Nafasi zote mpya za kazi zipo hapa

  • Tafuta vitu mtandaoni kwa lugha ya Kiswahili

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Maswali Mengine

    • Vipindi vya Clouds fm vya habari za michezo ni vipi?

      • Majibu 0
    • Wapi nitaona livescore za jana?

      • Majibu 0
    • Nawezaje kuangalia livescore leo?

      • Jibu 1
    • Samatta anaenda timu gani?

      • Jibu 1
    • Kuna aina ngapi za rede?

      • Majibu 0
    • Kuna habari gani za michezo Tanzania?

      • Majibu 0
    • AFCON inaonyeshwa TV gani?

      • Majibu 0
    • Nitapata wapi vifaa vya boxing mikoani?

      • Majibu 0
    • Tunafeli wapi katika michezo Tanzania?

      • Majibu 0
    • Simba wamefanya usajili gani?

      • Majibu 0

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.