Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Jose Mandingo
Unahisi kwa nini kuna watoto wa mitaani wengi?, kwa nini ugonjwa wa ukimwi ulisambaa kwa kasi sana?, kwa nini matumizi ya kondomu ni makubwa sana duniani? na kwa nini watoto wanazaliwa wengi kuliko watu wanaokufa?.
Kila kimoja hapo kina uhusiano huenda wa moja kwa moja au tofauti na swala la ngono na hivyo ni viashiria tosha kuwa kuna raha ya kushiriki tendo hilo.
Kukujibu ndio kuna raha na raha zaidi kama utashiriki na mtu umpendae katika muda sahihi pia.