Kuna video za ngono za kitanzania YouTube?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Calvin Mlay
Jibu la haraka ni hapana.
Moja ya vigezo na masharti ya Youtube ni kuwa hairuhusiwi kuweka video yoyote ya ngono na kama utaweka video itafutwa ndani ya muda mfupi tu.
Youtube kuna video za ngono?
Ndio zinaweza kuwepo. Kutokana na ukweli kwamba youtube hawataki video hizo zionekane kwa kila mtu ni ngumu kuona video hizo moja kwa moja kutokea youtube, hivyo inasemekana kuwa wapo watu wanaoweka video ziwe private kisha wanatumia link hizo za private kuonesha video kwenye website zao kwa kuwa kutumia space ya Youtube kwa ajili ya video yako ni bure
Kuna video za ngono za kitanzania YouTube?
Ndio zinaweza kuwepo, kwa kuziangatia maelezo yaliyopo hapo juu. Ukiwa YouTube unaweza kuona video zenye picha ya juu ama kava zikionesha kuwa ndani kutakua na maudhui ya ngono, video nyingi za aina hii ni kwa ajili ya kukuvutia ili u click tu.
Mwisho napenda nikwambie kuwa lengo kuu la mtandao wa youtube ni kuwa na video kwa ajili ya familia na sio video za ngono, kama unataka video za ngono ni bora ukazitauta katika mitandao ambayo inahusu video za ngono tu.