Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In


Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa


Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.


Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Homeยป MaswaliยปQ 31675
In Process
Poll
Anonymous
Asked: May 21, 20192019-05-21T09:00:19+03:00 2019-05-21T09:00:19+03:00Mapenzi

Kuna umuhimu wa tendo la ndoa?

Poll Results

75%Ndio ( 3 )
25%Hapana ( 1 )
Based On 4 Votes

Kuna umuhimu wa tendo la ndoa?

Kuna umuhimu wa tendo la ndoa?
  • 1
  • 879
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report

Jibu 1

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. Jose Mandingo

    Jose Mandingo

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 36 Answers
    • 0 Best Answers
    • 222 Points
    View Profile
    Jose Mandingo Advanced
    2021-04-09T16:33:14+03:00Jibu - April 9, 2021 saa 4:33 pm

    UMUHIMU WA TENDO LA NDOA KIAFYA

    ๐Ÿ’•Tendo la ndoa ni moja kati ya mazoezi ya mwili.
    Wataalamu wanasema kwamba, unapofanya tendo hilo mara tatu kwa wiki husaidia kupunguza kiasi cha mafuta mwilini na pia endapo mtu atafanya tendo mara tatu kwa wiki kwa kipindi cha mwaka mzima ni sawa na kukimbia maili 75.

    ๐Ÿ’•Tendo la ndoa huongeza takriban vizalisha nguvu 150 kwa nusu saa ambayo ni sawa na kukimbia dakika 15 kiwanjani.Kuongeza mwendo wa damu

    ๐Ÿ’•Tendo la ndoa husaidia kuongeza kasi ya mtiririko wa damu kwenye ubongo na sehemu nyingine ya viungo vya mwili, hii huchangia kuongeza kasi ya mapigo ya moyo na kuboresha mfumo wa upumuaji.

    ๐Ÿ’•Msukumo thabiti wa damu mpya yenye oxygen na homoni zenye chembe chembe hai zinapopenya kwenye mishipa ya damu husaidia katika uunguzaji wa chakula, pia huondoa kiasi cha uchafu ambao ungesababisha mishipa na kushindwa kufanya kazi na kumfanya mwanadamu apate maumivu ya mwili.

    ๐Ÿ’•Hupunguza mafuta yenye kileo (Cholesterol)Tendo la ndoa huweka sawa uwiano wa mafuta yenye kileo (Cholesterol) nzuri na cholesterol mbaya na wakati huo hupunguza kwa ujumla kiasi cha mafuta yenye kileo mwilini.

    ๐Ÿ’•Kupunguza maumivuWakati wa kufanya mapenzi, homoni iitwayo oxytosin huzalishwa mwilini ambayo husababisha kuzalishwa kwa homoni iitwayo endorphin ambazo hupunguza maumivu kama vile kuvimba sehemu za viungo (arthritis) maumivu ya shingo (Whiplash) na maumivu ya kichwa.

    ๐Ÿ’•Ulinzi wa tezi ya kibofu (mwanaume)Majimaji yanayozalishwa katika tezi ya kibofu (prostate) yakizidi husababisha kuleta matatizo mwilini.

    ๐Ÿ’•Tendo la ndoa la mpangilio huondoa uzalishaji wa majimaji hayo yenye madhara.

    ๐Ÿ’•Mabadiliko ya ghafla ya tendo la ndoa huelekea kuleta matatizo yahusianayo na tezi ya prostate.

    ๐Ÿ’•Kupunguza mfadhaiko wa moyo

    ๐Ÿ’•Kujitosheleza na kupumzisha mwili baada ya tendo la ndoa ni muhimu kwa kutuliza akili na kurekebisha mzunguko wa damu mwilini.

    ๐Ÿ’•Watu wenye kushiriki tendo la ndoa wanatajwa kushinda mfadhaiko na kupata usingizi mnono hasa mara baada ya kumaliza kufanya mapenzi.

    ๐Ÿ’•Huongeza uzalishaji wa homoni za kiume(testosterone) na za kike (Oestogen).

    ๐Ÿ’•Faida nyingine inayopatika ni kuongeza uzalishaji wa homoni za kiume na za kike likiwemo suala zima la msukumo wa kufanya tendo hilo ambapo mhusika hutosheka zaidi ya yule ambaye hana mazoea ya kufanya mapenzi.

    ๐Ÿ’•Hata hivyo, baadhi ya madaktari wamegundua kwamba ongezeko la homoni za kiume/ kike huweza kuwakinga wanadamu na magonjwa ya moyo.

    ๐Ÿ’•Kuishi muda mrefu huku ukionekana kijanaWakati wa tendo la ndoa homoni iitwayo DHEA huzalishwa mwili mzima. Hii husaidia msisimko wa mapenzi kuongezeka.

    ๐Ÿ’•Kutokana na elimu hiyo DHEA ni kemikali yenye nguvu duniani ambayo husaidia kuweka sawa kinga ya mwili, huongeza ufahamu, kuimarisha mifupa, kutengeneza na kuimarisha afya na kuimarisha mishipa ya moyo (Cardiovascular).

    ๐Ÿ’•Hupunguza baridi na mafua

    ๐Ÿ’•Elimu inaonesha kuwa wanaofanya tendo la ndoa mara moja au mbili kwa wiki huongeza 30% ya uzalishaji wa chembe chembe hai za mwili ziitwazo Immunogloulin A ambazo huwa na kazi ya kuulinda mwili dhidi ya magonjwa.

    ๐Ÿ’žย Hizo ni faida chache tu za kufanya tendo la ndoa.

    ๐Ÿ˜Šย Jambo kubwa la kuzingatia ni kuwa faida hizi hupatikana kwa ufanyaji wa mapenzi usiokuwa na hofu ya kufumaniwa au kuumbuliwa.

    kutoka facebook

    • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua

Sidebar

Promo

  • Gugo kwa Kiswahili, Jaribu Sasa

  • Nafasi zote mpya za kazi zipo hapa

  • Tafuta vitu mtandaoni kwa lugha ya Kiswahili

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Maswali Mengine

    • Nawezaje kuzipata sms za mke wangu katika simu yangu ambazo zinatumwa na watu wake?

      • Majibu 4
    • Nimfanyie nini mwanamke ili anipende?

      • Jibu 1
    • Wanaume wanahitaji nini katika mahusiano?

      • Jibu 1
    • Nawezaje kutokuwa na wivu kwa mpenzi wangu?

      • Jibu 1
    • Aina gani za wanaume wa kuepuka katika mahusiano?

      • Jibu 1
    • Sifa za mwanamke anayefaa kuolewa ni zipi?

      • Jibu 1
    • Dalili zipi zinaonesha kuwa mwanamke anaweza kuwa msaliti?

      • Majibu 0
    • Kama cheti cha ndoa kimepotea nawezaje kupata copy yake?

      • Majibu 2
    • Nifanye nini ili ajue nampenda?

      • Jibu 1
    • Kuna aina ngapi za busu?

      • Majibu 0

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.