Kuna tofauti gani kati ya mwezi na mbalamwezi?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Mwezi,ni lile mfano wa tufe,linaloelea angani,ambalo hutegemea jua ili kutoa mwanga.
Mbalamwezi ni ule mwanga utokanao na mwezi.