Kuna hosting za bure?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
ChuiTec
Zipo hosting za bure kabisa ambazo hautalipa chochote na website au blog yako itakua hewani. Ila sikushauri kutumia hizo kwa sababu zina matatizo mengi na unaweza kujiuliza mwenyewe kwa nini mtu atoe huduma inayoweza kumgharimu kwa bei ya bure?
Hasara zake ni kama wanaweza kuweka matangazo katika website yako bila hata wewe kutaka na pia wanaweza kuiondoa website yako muda wowote bila taarifa na bila kukupa nafasi ya kudownload website yako kwa ajili ya backup.
Ningekushauri utumie hosting zenye gharama nafuu kwa kuanzia, kwa sababu ni nafuu sana ili uepukane na hayo. Kujua kuhusu hosting hizo bonyeza HAPA