Kuna Google ya Kiswahili?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Google ya kiswahili kama unamaanisha kwa kutumia lugha ya kiswahili ipo, ukiandika google.co.tz inakuja google itakayozingatia majibu yanayohusiana na lugha ya kiswahili zaidi kuliko yale ya kiingereza. Lakini hata hivyo google imetengenezwa vema kwa hiyo ukiingia google tu kwa browser yako ya kawaida ita detect nchi na itakupeleka moja kwa moja katika lugha ya kiswahili.
Kama unamaanisha search engine inayotoka Tanzania nimewahi kuiona hii http://tafuta.co.tz japo bado ipo katika matengenezo.