Kuna aina ngapi za madini ya rubi?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Ramson Mnyaka
Kuna aina 6 za madini ya rubi au ruby, aina hizi sita zinatajwa katika tovuti ya ruby.org kwa kuzingatia maeneo rubi inapopatikana
1 Burmese Ruby – Myanmar
2 African Ruby – Sehemu mbalimbali za Afrika
3 Thai Ruby – Bankok
4 Tanzania Ruby – Songea Tanzania
5 Madagascar Ruby – Madagascar
6 Afghanistan Ruby – Afghanistan