Misheni yetu ni kufanya taarifa kuwa
wazi na rahisi kupatikana.
Misheni ya Mojasky ni kuhakikisha kuwa taarifa nyingi zinakuwa wazi na zinaweza kupatikana kwa urahisi. Kuna taarifa nyingi sana duniani, nyingine zimefungiwa katika vichwa vya watu na nyingine zipo wazi lakini katika mpangilio usio sawa au zinaweza kufikiwa na watu wa kundi fulani pekee.Tunahitaji kuhakikisha taarifa hizo zinakuwa wazi kwa kila mmoja ili kukuza ufahamu wa watu wote.
Kwa nini utumie 1Sky
Values zetu
1. Taarifa sahihi zinatoka kwa watu sahihi
Tuko hapa kuhakikisha taarifa zinasambaa kutoka kwa wenye nazo kwenda kwa wenye uhitaji.