Kitu gani kizuri uliwahi kumfanyia mtu usiyemjua?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Faustine John
Niliacha pochi yangu juu ya gari wakati naweka mafuta sheli, akati naondoka nilisahau pochi ikaanguka. mtu aliyeikota aliangalia kadi zangu zote akapiga simu kila namba iliyokuwepo katika zile kadi. Baada ya siku kadhaa nikapokea siu nyingi kutoka benki, bima na polisi kuhusu pochi yangu. Nilifurahi sana lakini sikupata nafasi ya kumjua yule mtu aliyenisaidia. Hapa mimi ndo nilifanyiwa japo ni kinyume na swali linavyosema lakini naona ni kitu kizuri
kutoka kwa mdau fulani.