Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In

Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa

Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Maswali»Q 380
In Process
Adv
Anonymous
Asked: February 4, 20192019-02-04T10:39:47+03:00 2019-02-04T10:39:47+03:00Maisha

Kitabu gani kimewahi kubadilisha maisha yako?

Kitabu gani kimewahi kubadilisha maisha yako?
  • 3
  • 1,153
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report
Adv

Majibu 3

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. Gaudence Kessy
    2019-03-13T11:50:11+03:00Jibu - March 13, 2019 saa 11:50 am

    Katika maisha yetu sisi kama binadamu tunakosea kila siku na kila wakati lakini ili tujiepushe na haya yote ni vyema tukasoma na kusikiliza maandiko ya aliyetuweka hapa duniani kwasababu yeye ndo anayeijua kesho yetu wala hakuna binadamu anayeweza kuijuia kesho yake, hivyo basi kwa ufupi kabisa “KITABU PEKEE KINACHOWEZA KUBADILISHA MAISHA YETU SIO KINGINE BALI NI KILE TULICHOANDIKIWA NA YULE ALIYETUUMBA SISI WANADAMU”  kufuatana na imani yako.

    Ahsante……..

    • 4
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  2. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  3. Rickyllobbe

    Rickyllobbe

    • Dodoma, Tanzania
    • 66 Questions
    • 157 Answers
    • 0 Best Answers
    • 696 Points
    View Profile
    Rickyllobbe Proffesional
    2019-05-05T18:40:42+03:00Jibu - May 5, 2019 saa 6:40 pm
    Jibu hili limerekebishwa.

    Kitabu pekee ambacho kimebadilisha maisha yangu ni kitabu kitakatifu ambacho kinafaamika kwajina liitwalo Biblia.Kitabu hiki kinaweza kuonekena kama ni kikwazo kwa baadhi ya watu likini ni kitabu ambacho mwongozo wa mtu umeandikwa mule ila pia kuna vitabu mbalimbali katika maisha yetu ya kila siku kinachotakiwa na wewe na imani yako kama mwanadamu uvisome ila vitabu vizuri zaidi ni vile vitabu vya kiroho kama vile kitabu cha Quran na Biblia hivyo ndo vitabu vizuri zaidi vinavyoweza kuyabadilisha maisha yangu na yako.kwamaelezo ni follow facebook user name Erick mlay.

     

    • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  4. Promo – MeridianBet

    Kubet kumerahisishwa

    Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.

    Jiunge Sasa
  5. Edutan

    Edutan

    • Tanzania
    • 1 Question
    • 10 Answers
    • 0 Best Answers
    • 53 Points
    View Profile
    Edutan Intermediate
    2019-09-20T10:34:11+03:00Jibu - September 20, 2019 saa 10:34 am

    Kwa wale wapenzi wa vitabu vilivyoandikwa katika lugha ya kiingereza naweza kupendekeza vitabu vitano(5) vinavyoweza kubadilisha maisha au kubadilisha kitu ndani ya maisha yako.

    1. ATTITUDE IS EVERYTHING – JEFF KELLER
    2. HOW TO WIN FRIENDS AND INFLUENCE PEOPLE – DALE CARNEGIE 
    3. RICH DAD, POOR DAD – ROBERT KIYOSAKI
    4. THE POWER OF YOUR SUBCONSCIOUS MIND – JOSEPH MURPHY
    5. THE MONK WHO SOLD HIS FERRARI – ROBIN SHARMA
    • 2
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua
Captcha Click on image to update the captcha.

Adv

Sidebar

Uliza Swali

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Maswali yanayoendana

    • Dalili gani zinaweza kunionesha kuwa nimekua mtu mzima tayari?

    • Mambo gani ambayo yanaweza kunisaidia siku moja?

    • Nawezaje kutekeleza malengo niliyojiwekea?

    • Kuna faida gani katika kujitolea?

    • Nitaanza vipi kama sina mtaji wowote?

    • Nitafanya nini kesho?

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.