Kikomo cha kutuma pesa MPesa ni kiasi gani?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Salim Jumbe
Kwa wateja wote miamala hufanyika kuanzanzia viwango vya awali Kundi Njia ya 1(Tier1). Wateja wakiitaji kuongeza viwango vyao, wanaweza kutembelea duka la Vodacom na kuwasilisha nakala za vitambulisho viliyoainishwa hapo chini
Viwango vinavyofuata vinatumika kwa miamala ya mteja wa M-Pesa kama Sheria ya Taifa ya Mfumo wa Malipo ya 2015 – Kanuni za Fedha za umeme zilizotolewa na BoT.