Kazi za kamati ya shule ni zipi?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Edutan
Kamati ya shule ni nini?
Kamati ya shule ni kikundi cha wajumbe waliochaguliwa kwa ajili ya kuongoza na kuangalia shughuli za shule ya msingi kwa msaada wa jamii. Kila shule ya msingi kisheria inatakiwa kuwa na kamati ya shule. Kamati ya shule ina dhima ya msingi katika kutekeleza Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM)
Nani ni wajumbe wa kamati ya shule?
MMEM inakusudia kuongeza demokrasia, ushiriki na uwajibikaji katika muundo na kazi za kamati ya shule. Nakala ya MMEM haijaonyesha wazi wajumbe wa kamati ya shule ni akina nani, lakini inasisitiza wawakilishi kutoka katika jamii, walimu, wanafunzi, wazazi na serikali ya kijiji. Pia inahimiza usawa wa kijinsia ili kuhakikisha sauti za wasichana na wanawake zinasikika.
Kamati ya shule ina majukumu/kazi gani?
Kamati ya shule inahusika na masuala yote ya shule kwa ujumla. Kwa mujibu wa kiambatanisho cha MMEM majukumu yake makuu ni: