Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In

Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa

Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Maswali»Q 31973
In Process
Adv
Anonymous
Asked: June 5, 20192019-06-05T10:43:50+03:00 2019-06-05T10:43:50+03:00Elimu

Kazi za kamati ya shule ni zipi?

Kazi za kamati ya shule ni zipi?
  • 1
  • 4,155
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report
Adv

Jibu 1

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. Edutan

    Edutan

    • Tanzania
    • 1 Question
    • 10 Answers
    • 0 Best Answers
    • 55 Points
    View Profile
    Edutan Intermediate
    2019-08-12T06:56:32+03:00Jibu - August 12, 2019 saa 6:56 am

    Kamati ya shule ni nini?

    Kamati ya shule ni kikundi cha wajumbe waliochaguliwa kwa ajili ya kuongoza na kuangalia shughuli za shule ya msingi kwa msaada wa jamii. Kila shule ya msingi kisheria inatakiwa kuwa na kamati ya shule. Kamati ya shule ina dhima ya msingi katika kutekeleza Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM)

    Nani ni wajumbe wa kamati ya shule?

    MMEM inakusudia kuongeza demokrasia, ushiriki na uwajibikaji katika muundo na kazi za kamati ya shule. Nakala ya MMEM haijaonyesha wazi wajumbe wa kamati ya shule ni akina nani, lakini inasisitiza wawakilishi kutoka katika jamii, walimu, wanafunzi, wazazi na serikali ya kijiji. Pia inahimiza usawa wa kijinsia ili kuhakikisha sauti za wasichana na wanawake zinasikika.

    Kamati ya shule ina majukumu/kazi gani?

    Kamati ya shule inahusika na masuala yote ya shule kwa ujumla. Kwa mujibu wa kiambatanisho cha MMEM majukumu yake makuu ni:

    •  Kuhamasiha, kuhusisha na kuwasilisha habari za elimu kwa wazazi wote, wanafunzi,wadau katika jamii na watendaji na mamlaka ya serikali za Mtaa/Kijiji.
    • Kushughulikia masuala ya shule ya kila siku, pamoja na utekelezaji wa vipengele vyote vinne vya MMEM.
    • Kushirikiana na mwalimu mkuu na walimu wengine kuweka vipaumbele na kuandaa Bajeti na Mipango ya Maendeleo ya shule.
    • Kufungua akaunti na kusimamia kwa uhakika na uangalifu fedha zilizo pokelewa kwa ajili ya utekelezaji, kuhakikisha uwajibikaji wa hali ya juu na uwazi katika mchakato unaotumika, ikiwa ni pamoja na kuweka wazi mapato na matumizi kwa jamii.
    • Kuandaa na kutoa kwa usahihi na kwa wakati mwenendo na ripoti ya fedha kwa jamii, Kata na Halmashauri. Hii inamaanisha kwamba kamati ya shule imepewa mamlaka ya kuunganisha jamii kuakisi changamoto zinazojitokeza kuhusu ubora wa elimu kwa wote na kutafuta suluhisho yakinifu ndani ya miongozo ya Serikali. Hawatakiwi kuendelea kusubiri kupokea maelekezo ya kila kitu kutoka ngazi ya juu. Serikali itasaidia kamati za shule kifedha na miongozo ya sera kwa ujumla, lakini ni jukumu la wananchi kuzitumia na kuboresha elimu katika jumuiya yao.
    • 15
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua
Captcha Click on image to update the captcha.

Adv

Sidebar

Uliza Swali

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Maswali yanayoendana

    • kirefu cha NACTE ni nini?

    • Nawezaje kukumbuka nilichokisoma?

    • Masharti na taratibu za kuomba mkopo Bodi ya Mikopo HESLB zikoje?

    • Mkuu wa chuo cha UDOM ni nani?

    • Taratibu za udahili katika Chuo cha Maendeleo na Usimamizi wa Maji ni zipi

    • Contacts za Ruaha Catholic University ni zipi?

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.