RickyllobbeProffesional
Kati ya Diamond Platnumz na Harmonize nani mkali?
Kati ya Diamond Platnumz na Harmonize nani mkali?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Faustine John
Diamond ndo kila kitu ata ukimuangalia Harmonize ni copy ya Diamond tu. Kwa saivi Harmonize anakuja vizuri ila bado hajamfikia Diamond