Kati ya Diamond Platnumz na Fally Ipupa nani ali mshirikisha mwenzake?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Faustine John
Diamond ndiye aliyemshirikisha Fally Ipupa katika nyimbo ya Inama.
Ukiona imeandikwa Diamond Ft Fally Ipupa maanake wa kwanza kutajwa ndiye aliyemshirikisha mwenzake.