Kama ninalo dishi lingine naweza kuliunganisha na king’amuzi cha Azam?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Musa Adam
Kitu bora cha kufanya hapa ni kwenda kwa wakala wa AzamTv aliye karibu yako ili aweze kuangalia kama dishi lako litaweza kupokea mawimbi ya Azam